Simamia Biashara Yako
Popote Ulipo
Mfumo wa biashara uliotengenezwa kwa mazingira ya Tanzania. Dhibiti mauzo, stoo, matumizi, madeni na faida kupitia simu au kompyuta.
"Biashara Yako, Faida Yako"
Kituo cha Biashara
Taarifa za biashara kwa wakati halisi.
Mapato Yote
TSh 3,860,606
Faida Halisi
TSh 760,094
Miamala
15
Fanya Kazi Popote
Taarifa zako zote sehemu moja—kwenye kompyuta, simu na duka lako la mtandaoni.
Mfumo wa Kompyuta
- Dashibodi ya stoo, mauzo, wafanyakazi na uhasibu
- Ripoti za mapato, matumizi na faida
- Watumiaji na matawi mengi
Inafaa kwa: Ofisi, ripoti, uhasibu na mishahara
Programu ya Simu
- Uza haraka na sasisha stoo papo hapo
- Arifa za mauzo na bidhaa zinapokaribia kuisha
- Endelea kufanya kazi hata mtandao ukiwa hafifu
Inafaa kwa: Dukani, mauzo ya nje na usimamizi ukiwa safarini
Duka la Mtandaoni
- Wateja waagize bidhaa moja kwa moja
- Bei na stoo vinasasishwa kutoka Faida360
- Pokea malipo ya simu
Inafaa kwa: Kuuza mtandaoni na kufikia wateja zaidi
Changamoto Zinazokula Faida Yako
Biashara nyingi zinashindwa kukua kutokana na ukosefu wa usimamizi sahihi.
Stock inapotea bila kujua
Wateja wanadaiwa lakini hawalipi
Hujui faida yako halisi
Mishahara na wafanyakazi ni kazi kubwa
Matawi mengi, hakuna mfumo mmoja
Muda mwingi unapotea kwa kazi za mikono
Faida360 Inakusaidia
Mfumo kamili wa kusimamia biashara yako — kutoka stock hadi mishahara, mauzo hadi uzalishaji.
Stoo na Bidhaa
Usimamizi wa Bidhaa
Fuatilia bidhaa zinazoingia na kutoka, pata arifa za stoo ndogo na simamia stoo za matawi.
Sales & POS
Mauzo na POS
Fanya mauzo kwa haraka, toa ankara na risiti, kisha fuatilia mauzo ya kila siku.
Wateja na Madeni
Usimamizi wa Wateja
Jua kila mteja anadaiwa kiasi gani, rekodi malipo na fuatilia historia ya manunuzi.
Fedha na Uhasibu
Ripoti za Fedha na Uhasibu
Pata ripoti za faida na hasara, mtiririko wa fedha, matumizi na leja kuu.
Wafanyakazi na Mishahara
Rasilimali Watu na Mishahara
Simamia wafanyakazi, mahudhurio, likizo, mishahara na mikopo sehemu moja.
Ununuzi na Wasambazaji
Ununuzi na Wasambazaji
Tengeneza oda za ununuzi, fuatilia bidhaa ulizonunua na madeni ya wasambazaji.
Uzalishaji
Uzalishaji
Panga malighafi, gharama na hatua za uzalishaji kwa kutumia Bill of Materials (BOM).
Duka la Mtandaoni
Duka la Mtandaoni
Onyesha bidhaa zako mtandaoni na unganisha oda moja kwa moja na stoo na mauzo.
Usimamizi wa Matawi
Usimamizi wa Matawi
Simamia matawi mengi kutoka dashibodi moja na upate ripoti ya kila tawi.
Malipo ya Simu
Malipo ya Simu
Pokea na fuatilia malipo kupitia mitandao inayotumika Tanzania.
VICOBA na Fedha Ndogo
VICOBA na Fedha Ndogo
Simamia vikundi, michango, mikopo na marejesho kwa uwazi.
Matumizi Bila Mtandao
Bila Mtandao
Endelea na kazi muhimu mtandao unapokuwa hafifu na sawazisha taarifa unapopatikana.
Usalama wa Taarifa za Biashara Yako
Faida360 hutumia udhibiti wa ruhusa na teknolojia salama kulinda taarifa zako dhidi ya matumizi yasiyoidhinishwa.
Muunganisho Salama wa HTTPS
Taarifa zinazotumwa kati ya kifaa chako na mfumo zinalindwa.
Uthibitishaji wa Hatua Mbili (2FA)
Ongeza ulinzi wa ziada kwenye akaunti yako.
Taarifa Kwenye Mfumo wa Wingu
Fikia taarifa zako kwa ruhusa kupitia simu au kompyuta.
Ruhusa kwa Kila Mtumiaji
Amua mfanyakazi gani anaweza kuona au kufanya nini.
Ripoti za Kibiashara
Hifadhi kumbukumbu zinazokusaidia kufuatilia mauzo na fedha.
Ufuatiliaji wa Matumizi
Shughuli za watumiaji zinaweza kufuatiliwa kwa uwajibikaji.
Udhibiti Salama
Linda akaunti na ruhusa za watumiaji
Imeundwa kwa Biashara za Tanzania
Fuatilia mauzo, bidhaa zinazoisha na fedha za kila siku bila kutegemea madaftari.
Maduka ya Rejareja
Duka moja au matawi mengi
Simamia oda, stoo, bei tofauti na madeni ya wateja au wasambazaji.
Biashara za Jumla
Wasambazaji na maghala
Rekodi mapato, matumizi, wateja na malipo ili ujue faida halisi ya biashara.
Biashara za Huduma
Saluni, gereji, ushauri na zaidi
Dhibiti malighafi, gharama za uzalishaji, bidhaa zilizokamilika na wafanyakazi.
Biashara za Uzalishaji
Viwanda vidogo na vya kati
Bei Nafuu kwa Kila Biashara
Pata kila kitu unachohitaji kwa gharama nafuu. Hakuna ada zilizofichwa.
Msingi
Kwa duka dogo au mfanyabiashara anayeanza kuweka kumbukumbu kidijitali.
- Hadi watumiaji 3
- Tawi 1
- Matumizi kupitia simu na kompyuta
- Stoo, mauzo na POS
- Ripoti za msingi za fedha
- Matawi mengi
- Wafanyakazi na mishahara
- Uzalishaji
Biashara
Kwa biashara ya rejareja au jumla inayokua na yenye zaidi ya tawi moja.
- Hadi watumiaji 10
- Hadi matawi 3
- Stoo, mauzo na POS
- Ununuzi na wasambazaji
- Wateja na madeni
- Ripoti za fedha na uhasibu
- Duka la mtandaoni
- Msaada wa kipaumbele
- Wafanyakazi na mishahara
- Uzalishaji
Kampuni
Kwa kampuni yenye matawi, wafanyakazi wengi au shughuli za uzalishaji.
- Hadi watumiaji 100
- Hadi matawi 20
- Simu, kompyuta na duka la mtandaoni
- Wafanyakazi na mishahara
- Uzalishaji na BOM
- VICOBA na fedha ndogo
- Uhasibu na ripoti za kina
- Msimamizi maalumu wa akaunti
Lipa kwa M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money, au Benki
Mipango yote inaanza na majaribio ya siku 14.
Hatua 3 Tu
Anza kutumia Faida360 kwa hatua rahisi.
Hatua 1: Jisajili
Fungua akaunti yako kupitia simu au kompyuta.
Hatua 2: Weka Bidhaa
Ingiza bidhaa, bei na idadi iliyopo dukani au stoo.
Hatua 3: Anza Kuuza
Rekodi mauzo na uone stoo, matumizi na faida zikisasishwa.
Pata App
Sasa
Fungua Faida360 kwenye simu au kompyuta yako na uanze kusimamia biashara yako ukiwa popote. Kila kitu kinasawazishwa papo hapo.
Fungua moja kwa moja: app.faida365.com

Skani kufungua
Inafanya kazi kwenye kifaa chochote
Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara
Pata majibu ya haraka kwa maswali yanayoulizwa mara nyingi.
Uko Tayari Kudhibiti
Biashara Yako?
Acha kutegemea madaftari na makadirio. Anza kuona mauzo, stoo, madeni na faida ya biashara yako sehemu moja.